MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1509; Acha Kupoteza Muda Wako Na Wa Wengine…
Unaomba ushauri utakuwaje mwandishi bora kabla hata hujakaa chini na kuandika. Au utauzaje kitabu chako kwa mafanikio wakati hata hujaandika sentensi moja ya kitabu hicho. Ni yale yale ya kuomba ushauri wa utafanikiwaje kwenye biashara wakati hujaanza hata biashara yenyewe, na wala huna mpango wa kuanza karibuni. Au kuomba ushauri