1527; Kama Hutafanya Mabadiliko Sasa…

By | March 7, 2019
Kama hutafanya mabadiliko sasa kwenye maisha yako, hutafanya mabadiliko kabisa kwenye maisha yako. Najua ni rahisi kwako kusema nitaanza kesho, nitaanza nikiwa tayari au nitaanza nikishamaliza kitu fulani. Zote hizo ni njia za kujidanganya, usiukabili ukweli kwamba huwezi au hutaki kuanza, unatafuta sababu ambazo hazitakuumiza wewe. Lakini ukweli unabaki wazi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In