1529; Unachoshikilia Ndiyo Kinachokuzamisha…

By | March 9, 2019
Uhuru kamili kwenye maisha unakuja pale unapoweza kuachilia, lakini ni vigumu kuachilia, ndiyo maana wengi hawapo huru, wengi wanazama na yale wanayoshikilia. Chukulia maisha kama mfano wa kuogelea kwenye maji, unapokuwa kwenye maji, ili uweze kuogelea huyashikilii maji, badala yake unayaachia na kujiachilia kwenye maji, na hilo ndiyo linakuwezesha kuelea

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In