1533; Hakuna Mkopo Usio Na Riba, Na Mkopo Wa Muda Una Riba Kubwa Sana…

By | March 13, 2019
Rafiki, ipo kauli maarufu kwamba hakuna kitu cha bure, kwamba unapoambiwa unapata kitu bure, kuna namna unagharamia kile unachopata bure. Inaweza kuwa kwenye ubora, kwamba unapata kitu bure, lakini hakitakuwa bora kama unavyotaka na huwezi kuhoji kwa sababu umepata bure. Au unaweza kulipa gharama kwenye utu wako, pale unapopata kitu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In