1535; Kufikiri Ndani Ya Kundi…

By | March 15, 2019
Unapokuwa ndani ya kundi hupati tena nafasi ya kufikiri, badala yake unachukua fikra za kundi, unafanya kile ambacho kila mtu anafanya. Hivyo huna haja ya kujiumiza kufanya maamuzi magumu. Wengi hukimbilia urahisi huu, badala ya kufanya maamuzi magumu wao wenyewe, wanaingia ndani ya kundi na hivyo kufanya kile ambacho kila

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In