1539; Tatizo Kubwa La Watu Wa Kawaida…

By | March 19, 2019
Tatizo kubwa la watu wa kawaida, ambao ndiyo sehemu kubwa ya watu katika zama hizi, hawapo kwenye chochote wanachofanya. Watu hawa wanaangalia lakini hawaoni, Wanasikiliza lakini hawasikii, Wanakula lakini hawaipati ladha, Wanagusa lakini hawapati hisia, Wanavuta pumzi bila ya kusikia harufu, Wanatembea bila ya kuwa na uelewa wa hatua mwili

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In