1575; Sababu Tatu Sahihi Za Kutokuwa Tajiri…

By | April 24, 2019
Inapokuja kwenye utajiri, wengi huwa na sababu nyingi kwa nini hawajaweza kuufikia utajiri. Wengi husema wamejaribu sana lakini siyo bahati yao. Wengine hutoa lawama kwa wazazi kwa kutowapa misingi sahihi au elimu bora. Wengine hulaumu uongozi na hata mazingira au hali ya hewa kuwarudisha nyuma. Na wapo ambao husingizia majukumu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In