1592; Hatua Ya Kwanza Ya Kuikabili Hofu Ni Hii…

By | May 11, 2019
Hofu imekuwa kikwazo kwa wengi kupiga hatua kwenye maisha yao na kufanikiwa zaidi. Japo wengi hawatakiri kwamba kinachowazuia ni hofu, lakini kwa hakika hofu ndiyo kikwazo kwa wengi, na hata kwako pia. Fikiria vitu vyote vikubwa ambavyo umewahi kupanga kufanya na hukufanya, fikiria malengo yote makubwa ambayo umewahi kujiwekea na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In