1594; Siku Haitengenezi Hali, Bali Hali Ndiyo Inatengeneza Siku…

By | May 13, 2019
Rafiki yangu mpendwa, Imekuwa ni mazoea kwa wengi kusingizia siku kwamba ndiyo zinatengeneza hali ambazo wanazo. Labda ni jumatatu ambayo mtu anajisikia vibaya kwenye kazi zake na hapo kusingizia kwamba jumatatu siyo nzuri, na kuipa majina kama ‘blue monday’ na mengineyo. Au ni ijumaa ambayo mtu anajisikia vizuri sana kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In

2   +   10   =