1596; Utamu Upo Kwenye Safari Yenyewe Na Siyo Mwisho Wa Safari…

By | May 15, 2019
Tumekuwa tunachagua kuyapoteza maisha yetu wenyewe kwa kuweka mkazo kwenye maeneo ambayo siyo sahihi. Mara nyingi tumekuwa tunaangalia mwisho wa safari yetu, kisha kujiambia kama tukifika pale basi tutakuwa na furaha kubwa na maisha yetu yatakuwa mazuri sana. Tunakazana kweli kweli, tunaweka maisha mengine pembeni na kuhakikisha tunafika pale tulipopanga

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In