1600; Cha Kufanya Pale Ambapo Hujui Ufanye Nini…

By | May 19, 2019
Kila mmoja wetu kuna wakati anajikuta njia panda, asijue ni kipi cha kufanya, hatua ipi ya kuchukua katika mengi anayoweza kufanya au kwa kuwa hakuna anachoweza kufanya kabisa. Nyakati kama hizi ndiyo zinawatofautisha wale wanaofanikiwa na wanaoshindwa. Wale wanaoshindwa huwa wanakubali kwamba hawajui au hakuna hatua wanayoweza kuchukua, hivyo hawachukui

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In