1619; Ujenzi Wa Ghorofa…

By | June 7, 2019
Mafanikio kwenye maisha yetu ni sawa na ujenzi wa ghorofa, vinaendana kwa kila kitu. Kwanza kabisa msingi lazima uwe imara, kadiri jengo linavyotegemewa kuwa refu, ndivyo msingi unavyokwenda chini na kuwa imara zaidi. Msingi wa jengo la ghorofa tano hauwezi kulingana na msingi wa jengo la ghorofa 20. Hivyo chagua

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz