1626; Unakuza Zaidi Mambo Ya Nyuma Kuliko Uhalisia Wake…

By | June 14, 2019
Ni kawaida yetu binadamu kuangalia nyuma na kuona mambo yalikuwa mazuri zaidi siku za nyuma kuliko yalivyo sasa. Hasa pale mabadiliko yanapokuwa yametokea na kutulazimisha kubadilika bila ya sisi wenyewe kutaka. Huwa tunaona enzi hizo mambo yalikuwa mazuri kuliko sasa. Lakini ukweli ni kwamba, chochote unachojiambia sasa kuhusu siku za

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In