1646; Thamani Kubwa Haipo Kwenye Wazo…

By | July 4, 2019
Katika zama zilizopita, kitu kikubwa kilichowatofautisha wale waliofanikiwa na walioshindwa kilikuwa ni mawazo bora. Wale waliofanikiwa sana walionekana kuwa na mawazo bora kuliko wale ambao wameshindwa. Katika zama hizo, watu wachache walihodhi mawazo bora sana ambayo yaliwawezesha kupiga hatua kubwa kwenye maisha yao. Lakini zama zimebadilika, kwa sasa tunaishi kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz