1649; Mamlaka Iliyo Kuu Ipo Ndani Yako…

By | July 7, 2019
Watu wenye mamlaka ya kupewa wanatumia kila nguvu kukuonesha kwamba wewe huna mamlaka. Wanakuonesha kwamba bila ya wao maisha yako yatakuwa magumu sana. Wanasiasa wanakuambia usipowachagua wao basi maisha yako yatakuwa magumu sana. Viongozi wa dini wanakuambia usipowasikiliza na kuwafuata wao basi unayapoteza maisha yako. Makampuni makubwa yanakuambia kama hutumii

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In