1657; Wasikilize Watu Walio Tofauti Na Wewe…

By | July 15, 2019
Moja ya njia ambazo watu wamekuwa wanajizuia kujifunza na kukua zaidi wao wenyewe ni kuchagua kutokuwasikiliza watu ambao wanatofautiana nao. Watu wengi huona wale ambao wanafikiri au kufanya tofauti na wao wanavyofanya wanakosea au hawajui wanachofanya. Lakini hilo ni kosa kubwa, kwa sababu hata wao wanakuchukulia hivyo, wanakuona unakosea au

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In