1659; Nenda Sehemu Yenye Msongamano Mdogo…

By | July 17, 2019
Eneo lolote lenye msongamano mdogo ndiyo eneo lenye fursa kubwa za mafanikio. Kuanzia kwenye kazi, biashara na mambo mengine ya maisha, kadiri watu wengi wanavyokuwa wanafanya kitu, ndivyo thamani ya kitu hicho inapungua. Nimekuwa nasema, kama unataka kufanikiwa lakini huna watu waliofanikiwa wa kujifunza kwao, basi angalia kile ambacho wengi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In