1670; Lazima Itakugharimu…

By | July 28, 2019
Kwa kila unachofanya au kutokufanya kwenye maisha yako, kuna gharama ambayo unailipa. Inawezekana unailipa sasa au ukaja kuilipa baadaye. Ukweli ni kwamba hutaweza kukwepa kulipa gharama. Ili kufanikiwa lazima ulipe gharama kubwa sasa, lazima ufanye mambo magumu sasa, lazima usamehe baadhi ya starehe kwa sasa, lazima ujisukume na ujiumize, hakuna

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In