1674; Msongo Na Uchoshi…

By | August 1, 2019
Mwanafalsafa Arthur Schopenhauer alisema maisha yetu ni kama mto ambao unatiririka kwenye kingo mbili. Ukingo wa kwanza ni msongo (stress), hapa ni pale ambapo unakuwa na mambo mengi ya kufanya kuliko muda au uwezo wako wa kuyafanya. Ukingo wa pili ni uchoshi (boredom), ambapo unakuwa na muda mwingi ambao huna

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In