1680; Nguvu Tatu Zinazokusukuma Kuchukua Hatua…

By | August 7, 2019
Kujifunza ni rahisi, Kuomba na kupokea ushauri ni rahisi, Kuweka malengo na mipango ni rahisi, Lakini inapofika wakati wa kuchukua hatua, hapo ndipo ugumu unapoanzia. Kuchukua hatua ni kugumu sana kwa sababu kuna nafasi ya kushindwa, na watu wengi wamekuwa hawapendi kushindwa kwenye chochote wanachofanya. Hivyo watu huwa wanafanya zoezi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In