1682; Viashiria Viwili Kama Utafanikiwa Au La…

By | August 9, 2019
Kuna viashiria viwili ambavyo ukiviona kwa mtu, unajua kabisa lazima atafanikiwa, haijalishi anaanzia wapi au anafanya nini. Na viashiria hivyo vinapokosekana kwa mtu, basi unajua anasukuma tu maisha, hakuna namna anaweza kufanikiwa. Kiashiria cha kwanza ni UHITAJI AMBAO MTU ANAO. Kama mtu anakihitaji kitu kweli, kwa namna ambayo hakuna kinachoweza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In