1684; Tatizo Siyo Muda, Tatizo Ni Umuhimu Wa Kitu…

By | August 11, 2019
Kama unajiambia huna muda wa kufanya kitu, nina habari njema kwako, tatizo lako siyo muda, tatizo lako ni umuhimu ambao umeweka kwenye kitu hicho. Labda nikupe mfano. Una gari yako, ambayo ina uwezo wa kubeba gumia 10 pekee, na huwezi kuongeza zaidi ya hapo. Umeenda sokoni kununua vitu ili ukaviuze

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In