1701; Siyo Kitu Cha Kijinga…

By | August 28, 2019
Ukiona mtu aliyepiga hatua kuliko wewe anafanya kitu kwa kukirudia rudia, jua kina manufaa fulani kwake. Hata kama hukubaliani na mtu huyo au kile anachofanya, jua kabisa kile anachofanya siyo kitu cha kijinga. Kina manufaa fulani ndiyo maana anakifanya. Na wewe unaweza kujifunza na ukakifanya pia, au ukakifanya kwa ubora

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In