1716; Fikiri Makubwa, Hatua Kidogo…

By | September 12, 2019
Unapokuwa unaweka mipango, fikiri mambo makubwa, usijiwekee ukomo wowote ule katika kufikiri kwako. Kwa sababu wote tunajua fikra zetu ndizo zinazoumba uhalisia wetu. Unapokuwa unachukua hatua, anza kidogo, pale unapoweza kuanzia sasa, usisubiri mpaka uweze kuchukua hatua kubwa. Kwa sababu wote tunajua hatua ndogo ndogo zinazojirudia rudia ndizo zinazozalisha matokeo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In