1734; Tofauti Ya Maisha Na Biashara…

By | September 30, 2019
Huwa tunasema maisha ni kama biashara, kwamba ukiyaendesha maisha yako kwa misingi ambayo unaendesha nayo biashara yako, basi yatakuwa na mafanikio makubwa. Pia tunasema biashara nayo ni maisha, kwamba biashara ni kitu kinachozaliwa, kinakua na pia kinakufa. Biashara huwa ina maisha yake, ambayo yakizingatiwa inadumu na yakipuuzwa inakufa. Lakini kuna

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In