1755; Tupo Tayari Kulipa Zaidi Pale…

By | October 21, 2019
Sisi binadamu ni viumbe ambao tuna ubinafsi mkubwa. Huwa tunayaangalia maslahi yetu kwanza kabla hatujasumbuka na mambo mengine. Na hili la kuangalia maslahi yetu kwanza, limetumika vizuri na wengine katika kupata kile wanachotaka kupata kutoka kwetu. Tupo tayari kulipa zaidi kwenye kitu chochote, pale kinapokuwa na sifa zifuatazo; Ni kitu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In