1759; Kama Kila Mtu Anakutegemea Wewe Kuna Tatizo…

By | October 25, 2019
Kila ninapokutana na watu ambao wanasema majukumu yao ya kazi ni mengi na hivyo wanakosa muda wa kufanya vitu vingine muhimu kwenye maisha yao, huwa kuna kitu kimoja kinakuwa nyuma yao, wanakuwa wanategemewa zaidi na wengine. Watu wengi huwa wanatumia muda wao wa kazi kujibu na kusaidia wengine kukamilisha majukumu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In