1760; Njia Nzuri Ya Kufanya Vitu Kuwa Bora…

By | October 26, 2019
Njia nzuri ya kufanya vitu kuwa bora ni kufanya vitu bora. Huwa tunaona wengine wakitoa matokeo mazuri na kujiambia wamewezaje kufanya vile. Ambacho tunashindwa kuona ni kwamba watu hao wanatoa matokeo bora kwa sababu wanafanya vitu bora. Unaona wengine wanatoa matokeo mazuri kwenye kazi yao na kujiuliza wamewezaje hivyo, jibu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz