1762; Watu Wananunua Matumaini…

By | October 28, 2019
Unafikiri ni kitu gani kinapelekea mtu kucheza bahati nasibu ya shilingi mia tano au elfu moja? Wachezaji wengi wa bahati nasibu hizi wanajua kabisa kwamba hawawezi kushinda, kwa sababu washindi ni wachache na wachezaji ni wengi. Lakini kinachowasukuma kucheza bahati nasibu hizi ni yale matumaini wanayokuwa nayo kwamba huenda nao

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In