1774; Kuhusu Kupata Muda…

By | November 9, 2019
Nimeshaliandika hili mara nyingi mpaka kitabu kizima nimeandika kuhusu muda. Lakini naomba nilirudie tena kwa msisitizo mkubwa. Hakuna siku hata moja utapata muda wa kufanya kile unachojiambia ukipata muda utafanya. Kama kuna kitu unajiambia unataka kufanya, lakini kwa sasa huna muda, jua hakuna siku utakuja kupata muda wa kufanya kitu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In