1783; Hakuna Kisichokuwa Na Manufaa…

By | November 18, 2019
Kila kitu kinachotokea kwenye maisha yako, kuna manufaa ambayo yapo ndani ya kitu hicho. Hata kama ni kitu unachoona ni kibaya au kigumu. Ugumu au changamoto unayopitia sasa, ina manufaa ndani yake, unaweza usione hilo wazi, lakini kwa kupitia ugumu au changamoto hiyo, unaweza kujiepusha na mambo mengine makubwa zaidi.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In