1787; Msimamo Na Ung’ang’anizi Ndiyo Nguvu Kuu…

By | November 22, 2019
Tone moja la maji halina madhara yoyote kwenye kitu chochote kile. Lakini tone hilo moja linapojirudia kwa muda mrefu kwenye eneo moja, lina nguvu kubwa ya kuleta mabadiliko makubwa. Tone hilo likijirudia kwa muda mrefu kwenye eneo moja linaweza kuvunja mwamba mkubwa na mgumu. Hivyo pia ndivyo ilivyo kwa nguvu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In