1792; Mafanikio Yanaanza Na Tabia…

By | November 27, 2019
Tunapoyaangalia mafanikio ya wengine, huwa tunaona vitu vikubwa sana ambavyo wamevifanya, na hilo linatukatisha tamaa na kuona kwamba hatuwezi kuwafikia. Kwa mfano wewe unapenda kuwa mwandishi, unamwangalia mtu unayevutiwa kupitia uandishi wake na unakuta ameandika vitabu zaidi ya kumi, tenda ndani ya miaka michache, wewe ukifikiria tu kuandika kitabu kimoja

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In