1810; Umeshaenda Mbali Sana…

By | December 15, 2019
Leo naongea na wale watu ambao walichagua njia fulani, lakini sasa wanafikiria huenda kama wangechukua njia mbadala basi mambo yao yangekuwa rahisi kuliko sasa. Hawa ni wale watu ambao walikuwa na nafasi ya kuweza kuajiriwa au kujiajiri, wao wakakataa kuajiriwa na kuamua kujiajiri, lakini sasa kwenye kujiajiri wamekutana na magumu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In