1820; Nguvu Yako Inatoka Wapi?

By | December 25, 2019
Chanzo cha nguvu yako ndiyo kitaamua kama utakuwa na maisha ya mafanikio na yenye uhuru au utakuwa na maisha ya kushindwa na yasiyo na uhuru. Nguvu inaweza kutoka ndani yako na hapa chanzo cha nguvu kinakuwa yale uliyofanya, uwezo na upekee wako na matokeo ambayo unayazalisha kwa wengine na wanayategemea.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In