1842; Acha Kujidanganya, Huwezi Kupata Muda…

By | January 16, 2020
Muda huwa haupatikani, bali muda unatengenezwa. Ukijiambia kwamba ukipata muda utafanya kitu fulani, unajidanganya. Kwa sababu huwezi kupata muda, bali unaweza kutengeneza muda. Wote tunajua jinsi ambavyo mambo ya kufanya ni mengi na muda wa kuyafanya ni mchache. Hivyo kufikiri kuna siku muda utajitokeza wenyewe, ni kujifariji tu. Utapata muda

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In