#TAFAKARI YA USIKU; UNASUBIRI MPAKA LINI?

By | January 16, 2020
“How long are you going to wait before you demand the best of yourself.” ā€“ Epictetus Unasubiri mpaka lini ndiyo uanze kujidai na kujisukuma kutumia uwezo mkubwa uliopo ndani yako? Kwa sababu hapo ulipo, kuna uwezo mkubwa sana unao, lakini cha kushangaza huutumii. Na wengi wamekuwa wanakufa na uwezo huo,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In