1853; Mafanikio Yako Yasiwe Gharama Kwa Wengine…

By | January 27, 2020
Watu wengi wana ule mtazamo wa kizamani kwamba ili wewe ufanikiwe, lazima wengine washindwe. Ili wewe uwe tajiri, lazima wanaokuzunguka wawe masikini. Huu ni mtazamo wa kizamani, ambao uliwazuia wengi wasifanikiwe, kwa sababu walihangaika na mambo ya wengine badala ya kuhangaika na mambo yao. Mtazamo huo wa nyuma ulikuwa ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In