1882; Umuhimu Kwa Kukosa…

By | February 25, 2020
Kuna vitu kwenye maisha yako unaweza kuvichukulia poa sana wakati unavyo, huoni umuhimu wake mkubwa. Ila pale unapovikosa vitu hivyo, ndiyo unagundua kwamba vilikuwa muhimu sana kwako. Na wakati huo unapogundua, unakuwa umeshachelewa. Kabla ya kufika kwenye hali hiyo ya kugundua umuhimu wa kitu kwa kukikosa, anza kuthamini kila ulichonacho

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In