1891; Jifunze, Fundisha, Fanya…

By | March 5, 2020
Vitu vitatu unavyoweza kufanya kwenye kila jambo na kila hali unayopitia. Kuna kitu unachoweza kujifunza, Kuna kitu unachoweza kuwafundisha wengine, Na kuna kitu unachoweza kufanya, hata kama ni kidogo kiasi gani. Usikubali tena kukwama kwenye jambo lolote, Usijiambie uko njia panda na hujui nini cha kufanya. Jifunze, fundisha, fanya. Hivyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz