1897; Zao La Ung’ang’anizi…

By | March 11, 2020
Mtu akija kwako na kukuambia kuna fursa ya kupata fedha nyingi kwa haraka na bila ya kufanya kazi, cheka, kisha achana naye na nenda zako. Usijibizane naye, usibishane naye, wewe cheka na nenda na yako. Akikuuliza kwa nini unacheka mjibu umefurahi, kisha endelea na mambo yako. Kwa nini ufanye hivi?

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In