1919; Uhaba Ndiyo Unaamua Mafanikio…

By | April 2, 2020
Kwenye kilimo, kuna sheria ya Liebig ambayo inaeleza kwamba ukuaji wa mmea unategemea rasilimali yenye uhaba, na siyo upatikanaji wa rasilimali zote. Kwa lugha rahisi ni kwamba, mmea utakua kulingana na upatikanaji wa rasilimali ambayo ina uhaba mkubwa. Hata kama rasilimali nyingine zote muhimu zinapatikana, ile yenye uhaba itazuia ukuaji

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz