#TAFAKARI YA ASUBUHI; KUSUDI KUBWA, HATUS KUBWA…

By | April 10, 2020
“The further any purpose the faster we should work toward it.” —GIUSEPPE MAZZINI Kadiri kusudi la maisha yako linavyozidi kuwa kubwa, ndivyo unavyopaswa kuchukua hatua kubwa na za haraka. Tofauti na hapo utakuwa unajidanganya mwenyewe. Huwezi kuwa na kusudi na malengo makubwa, halafu ukachukua hatua za kawaida na ukategemea kufikia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In