1930; Hakuna Anayepatia Kwa Mara Ya Kwanza…

By | April 13, 2020
Unajichelewesha sana pale unapotaka kupatia kwa mara ya kwanza. Yaani unataka uanze biashara yako ya kwanza na hiyo iwe na mafanikio makubwa. Au kazi yako ya kwanza iwe ndiyo kazi inayokufikisha kwenye mafanikio makubwa. Unajidanganya. Hakuna mtu yeyote ambaye amewahi kupatia au kupata kila alichokuwa anataka kwa kufanya kitu mara

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In