1934; Ubora Wa Kutisha Siyo Wa Kutosha…

By | April 17, 2020
Ili kupata mafanikio makubwa, unapaswa kufikia ubora wa kutisha na siyo ubora wa kutosha. Ubora wa kutosha ni pale unapoweza kufanya kile unachofanya vizuri kuliko wengine, lakini watu wanaweza kuficha ubora wako huo na usipate ushindi. Ubora wa kutisha ni pale unapoweza kufanya kile unachofanya vizuri sana kuliko wengine, kiasi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz