1944; Thamani Ya Kitu Unaiona Unapokikosa…

By | April 27, 2020
Kwenye uchumi, ukitaka kitu kipande bei, kiondoe sokoni, upatikanaji wa kitu unapokuwa mdogo, ghafla uhitaji wake unakuwa mkubwa na bei yake inakuwa kubwa pia. Kwenye saikolojia ukitaka watu wapende au kufanya kitu, wakataze wasiwe nacho au wasikifanye. Mwambie mtoto asishike moto na hapo utakuwa umempa kitu cha kufanyia kazi, kuhakikisha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz