1946; Ya Wengine Rahisi, Ya Kwako Magumu…

By | April 29, 2020
Utakuwa na maisha rahisi kama utaacha kupokea ushauri ambao watu wengi wanakupa, hata kabla hujawaomba. Na utakuwa na maisha tulivu kama utaacha kushauri kila mtu, hata kama hajakuomba ushauri. Hii ni kwa sababu ni rahisi sana kutoa ushauri kwa wengine, lakini kufanyia kazi ushauri huo huo unaowapa wengine na vigumu.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In