1953; Hajui Hata Kama Uko Hai…

By | May 6, 2020
Kuna wakati unaweza kukasirishwa na maneno au matendo ya mtu fulani, kiasi cha wewe kushindwa kabisa kufanya kazi yako. Labda ni mtu maarufu au kiongozi mkubwa ambaye ameongea au kufanya kitu kinachokuumiza sana wewe na kikapelekea ukasirike na hata kukata tamaa ya kuendelea kufanya ulichokuwa unafanya. Unaweza kuchukua muda wako

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In