#TAFAKARI YA ASUBUHI; WANAOLALAMIKIA WENGINE NA KUKUSIFIA WEWE…

By | May 25, 2020
“Never listen to those who blame others and speak well about you.” – Leo Tolstoy Kamwe usiwasikilize wale ambao wanawalalamikia wengine na kukusifia wewe. Kwa sababu wanapoenda kwa wengine, wanakulalamikia wewe na kuwasifia hao wengine. Kamwe usiongeze neno kwa wale wanaowalalamikia au kuwalaumu wengine, Maana watakapoenda kukulalamikia kwao, wataongeza chumvi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In