1978; Uvumilivu, Ung’ang’anizi Na Msimamo…

By | May 31, 2020
Mafanikio makubwa ni matokeo ya uvumilivu, ung’ang’anizi na msimamo. Unahitaji kuwa na uvumilivu mkubwa kwenye chochote unachofanya, kwa sababu mambo hayatakuja haraka. Unahitaji kuwa king’ang’anizi hasa kwa sababu utakwama na kushindwa, lakini hupaswi kukata tamaa. Na pia unapaswa kuwa na msimamo, kufanya kitu kimoja mpaka pale unapopata majibu kabla ya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In